Ruka hadi kwenye sehemu kuu

Nabadilishaje barua pepe yangu

Jifunze namna unavyoweza kubadili barua pepe yako

Aisha avatar
Imeandikwa na Aisha
Imesasishwa wiki hii

Kubadili barua pepe yako, tutakuuliza yafuatayo:

  • Tutumie ombi lako kupitia barua pepe yako mpya kwenda [email protected]

  • Barua pepe yako ya zamani

  • Tuambie kwanini unataka barua pepe yako.

  • Picha yako ya selfie ukiwa umeshika kitambulisho chako halali na karatasi nyeupe inayoonesha tarehe ya leo.

Hivyo tu! Tutasasisha barua pepe yako pale tutakapothibitisha taarifa ulizotupatia. Tazama kikasha chako kwa barua pepe ya uthibitisho, na utuambie kama unahitaji msaada wa ziada.

Je, hili lilikuwa jibu la swali lako?