Ruka hadi kwenye sehemu kuu

Jinsi ya kuzima uthibitishaji wa sababu mbili.

Jifunze namna ya kurejesha tena ufikiaji wa akaunti yako ikiwa itakuwa umepoteza uthibitishaji wako wa sababu mbili.

Aisha avatar
Imeandikwa na Aisha
Imesasishwa wiki hii

Tunachukulia usalama wa akaunti za watumiaji wetu kwa umakini mkubwa,tunatumia mfumo wa uthibitishaji wa sababu mbili kama njia ya ziada ya kulinda akaunti yako.Ingawa, tunaelewa kwamba kuna hali ambayo itakulazima uzime feature hii ili akaunti yako irudi tena.Hili likitokea, fuata hatua zifuatazo kuzima njia ya sababu mbili ya uthibitishaji.

  • Tuma barua pepe kwenda [email protected] kuomba kuzimwa kwa uthibitishaji wa sababu mbili.

  • Tutawasiliana nawe kwa mchakato wa kurejesha akaunti na uthibitishaji wa kitambulisho.

  • Tutakuuliza taarifa maalumu ili kuthibiisha utambulisho wako, ombi lako litapitiwa pale tu utakapotuma taarifa hizo.

  • Tafadhali tengeneza uthibitishaji wako wa sababu mbili utakaporejeshewa ufikiaji wa akaunti yako.

Grey haitokuuliza taarifa zako za uingiaji: Tafadhali weka taarifa hii siri.

Je, hili lilikuwa jibu la swali lako?