Sasa unaweza kutazama vifaa na vipindi vilivyoingia kwenye programu na kuondoa vifaa ambavyo huvifahamu.
Hivi ndivyo unavyoweza kufanya:
Kwenye programu ya simu.
Ingia kwenye akaunti yako
Bofya “ Zaidi” kisha chagua “ Vifaa & Vipindi” kutazama vifaa ambavyo umeingia.
Kwenye Tovuti Ingia kwenye akaunti. Bofya mipangilio kisha shuka chini hadi kwenye ukurasa wa usalama kuangalia vifaa ambavyo vimeingia.
Ukihitaji msaada, timu yetu ya usaidizi itakuwa tayari kukusaidia!