Kwa usalama na amani ya akili, kusasisha nenosiri mara kwa mara ni zoezi bora.Kubadili nenosiri lako fuata hatua zifuatazo
Kwenye tovuti:
Ingia kwenye akaunti yako ya Grey.
Bofya mipangilio kufikia ukurasa wa usalama wa akaunti yako.
Bofya “ badili nenosiri”
Ingiza nenosiri la zamani.
Jaza nenosiri lako jipya na thibitisha nenosiri lako jipya.
Hifadhi mabadiliko kwa kubofya “ badili nenosiri”.
Umefanikiwa kubadili nenosiri lako.
Kwenye programu ya simu:
Ingia kwenye akaunti yako ya Grey
Bofya “ Zaidi(….)” kufikia ukurasa wa usalama.
Bofya “ badili nenosiri”
Ingiza nenosiri la zamani.
Jaza nenosiri jipya.
Hifadhi mabadiliko kwa kubofya “ badili nenosiri”
Umefanikiwa kubadili nenosiri lako!!.
Ukihitaji usaidizi, timu yetu ya usaidizi iko hapa kukusaidia!