Kwenye Chat iliyopo kwenye Programu
Njia rahisi ya kuwasiliana na Grey ni kupitia Chat iliyopo kwenye tovuti na programu ya Grey.Timu yetu ya usaidizi ipo tayari kusaidia kwenye changamoto unayopitia na kukupa msaada wa majibu ya maswali yako.Timu itakurudia ndani ya masaa machache.
Barua pepe
Tafadhali jiskie huru kututumia barua pepe. Tufahamishe maoni na mapendekezo yako.Tutumie barua pepe kupitia [email protected]
Kwa maombi ya usaidizi, tumia chat iliyopo kwenye program yetu au tutumie barua pepe kupitia [email protected]
Mitandao ya Kijamii
Ungana nasi kupitia majukwa ya mitandao ya kijamii
Twitter: @greyfinance
Instagram: @greyfinance
Kwa maazimio ya masuala na tiketi za usaidizi, Tafadhali endelee na elezea kupitia barua pepe yako uliyosajilia, na tupatie taarifa zote muhimu na risiti ili kuepuka uwasilishaji.