Ruka hadi kwenye sehemu kuu
Mkusanyiko wote
Grey ni nini?
Grey ni nini?

Pata maelezo zaidi kuhusu Grey.

U
Imeandikwa na Ugochi Nwabueze
Ilisasishwa zaidi ya miezi 8 iliyopita

Grey ni jukwaa linalotoa akaunti za kidijitali za kigeni kwa wahamiaji wa kidijitali,wafanyakazi wa remote na wafanyakazi huru, tunaruhusu watu binafsi/biashara kupokea fedha kutoka nje ya mipaka yao hapo hapo kupitia taarifa zao za akaunti na IBAN ya mtandaoni.

  • Tunawezesha wateja wetu kubadili sarafu na kupokea malipo yao papo hapo kwa viwango bora, kutumia kupitia kadi yetu ya mtandaoni ya USD, pamoja na kutuma ankara. Tunatoa mfumo wa pochi ya kidijitali inayokuruhusu kuweka fedha kwenye pochi yako sarafu mbalimbali.

  • Pia, Tunawezesha kutuma fedha kwenda kwenye nchi za kigeni ikiwa unataka kulipa ada, bili za hospitali, na malipo mengine ya kigeni. Kupitia Grey, unaweza kununua muda wa maongezi pamoja na data na kufanya malipo ya bili mbalimbali.

Tunakuondolea mawazo kwa kukuondolea kero zinazotokana na malipo ya nje ya mipaka pamoja na kubadili fedha za kigeni. Badili fedha za kigeni, tuma na pokea pesa nje ya mipaka ukiwa nyumbani kwako bila kutozwa ada zilizofichwa.

Jukwaa letu liko salama, linafaa kwa watumiaji na ni rahisi kutumia.Sisi ni kampuni ya teknolojia ya fedha, na sio benki. Washirika wetu wa kibenki walio na leseni hutoa huduma za kibenki.Pia tumepewa leseni na kudhibitiwa na FinCen na FINTRAC.

Unaweza jifunza zaidi na kuanza kutengeneza akaunti yako ya Grey hapa.

Je, hili lilikuwa jibu la swali lako?