Kwa sasa tunasapoti sarafu kumi na nne (14) tofauti. Sarafu hizo ni:
• 🇳🇬 Nigerian Naira (NGN)
• 🇺🇸 United States Dollar (USD)
• 🇬🇧 Great Britain Pounds (GBP)
• 🇪🇺 European Euro (EUR)
• 🇹🇿 Tanzanian Shillings (TZS)
• 🇰🇪 Kenyan Shillings (KES)
• 🇺🇬 Ugandan Shillings (UGX)
• 🇧🇷 Brazilian Real (BRL)
• 🇲🇽 Mexican Dollars (MXN)
• 🇮🇩 Indonesian Rupiah (IDR)
• 🇿🇦 South African Rand (ZAR)
• 🇬🇭 Ghanaian Cedis (GHS)
• 🇵🇭Philippine Peso (PHP)
• USDC
Huu ni mchanganuo wa namna sarafu hizi tunazosapoti zinavyotymia kwenye kutuma na kupokea malipo.
Kupokea malipo
Tunasapoti kupokea malipo kwenye sarafu hizi.
• 🇳🇬 Nigerian Naira (NGN)
• 🇺🇸 United States Dollar (USD)
• 🇬🇧 Great Britain Pounds (GBP)
• 🇪🇺 European Euro (EUR)
Kutuma Fedha
Tunasapoti kutuma fedha kwenda kwenye sarafu zifuatazo.
• 🇳🇬 Nigerian Naira (NGN)
• 🇬🇧 Great Britain Pounds (GBP)
• 🇪🇺 European Euro (EUR)
• 🇹🇿 Tanzanian Shillings (TZS)
• 🇰🇪 Kenyan Shillings (KES)
• 🇺🇬 Ugandan Shillings (UGX)
• 🇧🇷 Brazilian Real (BRL)
• 🇲🇽 Mexican Dollars (MXN)
• 🇮🇩 Indonesian Rupiah (IDR)
• 🇿🇦 South African Rand (ZAR)
• 🇬🇭 Ghanaian Cedi (GHS)
• 🇵🇭Philippine Peso (PHP)
• USDC