Grey inatoa huduma mbalimbali, ambazo ni;
Akaunti za kidigitali za kigeni zenye IBANs kwa digital nomads, wafanyakazi wa remote, na wafanyakazi huru.
Inaruhurusu kubadili sarafu na malipo ya papo hapo kwa viwango bora.
Inatoa kadi ya kidijitali za USD kwa matumizi.
Inawezesha kutuma na kupokea malipo nje ya mipaka.
Inasapoti kulipia muda wa maongezi, data na malipo ya bili mbalimbali.
Inatoa uchanganuzi ili kupima matumizi na kutengeneza ankara.
Inatoa kadi za zawadi kwa zawadi maalumu.
Huhakikisha matumizi salama, yanayofaa mtumiaji maalumu kwa utumaji wa fedha nje ya mipaka.
Makala zinazohusiana
Grey ni nini?
Wapi naweza kutumia kadi yangu ya kidijitali ya Grey?
Je Akaunti namba ya benki ya kimataifa (IBAN) ni nini?
Namna gani naweza kununua kadi ya zawadi ya Grey.
Grey inashirikiana na benki zilizosajiliwa kutoa huduma hizo na inadhibitiwa na FinCen na FINTRAC.