Ruka hadi kwenye sehemu kuu

Umesahau nenosiri

Namna ya kuweka upya nenosiri lako

Aisha avatar
Imeandikwa na Aisha
Ilisasishwa zaidi ya miezi 2 iliyopita

Umesahau nenosiri? Tumekupata!

Fuata hatua hizi rahisi kuweka upya nenosiri lako.

  • Bofya kitufe chini kuweka upya nenosiri lako.

  • Ingiza barua pepe yako, kisha bofya “ tuma kiungo cha kuweka upya nenosiri”

  • Kiungo cha uwekaji upya nenosiri kimetumwa kwenye barua pepe yako; Ingia kwenye barua pepe yako kuifikia kiungo cha uwekaji upya nenosiri lako.

  • Bofya kiungo cha uwekaji upya nenosiri lako.( Utaelekezwa kwenye ukurasa wa uwekaji upya wa nenosiri lako)

  • Ingiza neno siri jipya na bofya “weka upya nenosiri” ili kutunza nenosiri lako jipya.

  • Utakuwa umefanikiwa kuweka upya nenosiri na sasa unaweza kuingia kwenye akaunti yako.

Bofya kitufe cha kuanza!!!

umesahau nenosiri

Je, hili lilikuwa jibu la swali lako?