Kupakua App ya Grey, fuata hatua zifuatazo.
Kwa IOS ( Apple )
Fungua appstore kwenye Iphone au Ipad yako.
tafuta “ Grey Finance”
Bonyeza “ Get” au alama ya kupakua pembeni ya app ya Grey.
Subiri app ipakuliwe na kusanikishwa.
Kwa Android
Fungua Google play store kwenye simu yako ya Android ama tablet.
Tafuta “Grey Finance”
Bofya “ Install” pembeni ya app ya Grey
Subiri app ipakuliwe ne kusanikishwa.
Mara tu app yako inapopakuliwa, unaweza kufungua ma kutengeneza akaunti.