OTP ya Whatsapp ni njia ya haraka ya kupokea OTP. Kuitumia, inabidi uruhusu 2FA kupitia chaguo la SMS.
Hivi ndio namna ya kuweka chaguo lako la Whatsapp OTP.
Kupitia tovuti
Ingia kwenye akaunti yako
Ukiinhia, bonyeza “ Tuma msimbo kwenda Whatsapp”.
Msimbo wa OTP utatumwa kwenye Whatsapp yako.Ingiza Msimbo kuingia kwenye akaunti yako.
Kwenye app ya simu
Kitu gani cha kutarajia unapopokea msimbo wa OTP.
Kutokana na Updates mpya kutoka META, msimbo wako wa OTP utakaotumwa kwenye namba yako ya Whatsapp.
Kwa sababu za kiusalama, tafadhali uisambaze msimbo huu kwa mtu mwingine. Chini ni screenshot inayoonesha namn ujumbe unavyoonekana:
Tafadhali hakikisha namba ya simu uliyosajilia kwenye app ndio hiyo imeunganika na akaunti yako ya Whatsapp.