Kabla ya kufunga na kufuta akaunti ya Grey, tafadhali
Kwenye app ya simu
Ingia kwenye akaunti yako ya Grey.
Bonyeza “ Zaidi” kuufikia wasifu wako.
Bonyeza kwenye “ Wasifu wako” na bonyeza “ futa akaunti”.
Unaweza kufuta akaunti yako ya Grey kupitia app ya kwenye simu pekee. Tafadhali tuma barua pepe kwenda [email protected] ama wasiliana na timu yetu ya usaidizi kupitia chat iliyopo kwenye app ama tovuti yetu kwa msaada zaidi.